Tanzania yaongoza Kwa uzalishaji wa maharage afrika

Tanzania yaongoza kwa uzalishaji na uuzaji wa Maharage Afrika

  • Dakika 44 zilizopita
Tanzania inatajwa kuwa ndio kinara wa uzalishaji na uuzaji wa maharage barani Afrika. Ikiwa na eneo la ukubwa wa hekta Milioni 1 nukta 3 za mashamba ya maharage, nchi hii inalisha mamilioni ya watu Afrika.
Ni nini siri ya mafanikio ya Tanzania katika biashara hii? Mwandishi wetu Sammy Awami alikwenda mkoani Kagera, mkoa unaoongoza kwa uzalishaji wa maharage nchini humo na kutuandalia taarifa ifuatayo

No comments

Powered by Blogger.