Waholanzi awataki umaharufufu usio kuwa na tija

Waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte amese matokeo ya uchaguzi mkuu nchini mwake yamedhihirisha kuwa waholanzi wamekataa kile kinachoitwa umaarufu usio na maana.
Kwa kura zaidi ya nusu ya zilizopigwa tiyari chama chake cha mrengo wa kulia cha kiliberali kimemshinda kwa urahisi chama cha Geert Wilders kinachopinga uhamiaji na uislamu nchini humo.
Lakini chama hicho kimeshinda viti bungeni kama ilivyo kwa vyama vingine mfano Christian Democrats, GreenLeft party
Furaha ilitawala kwa wafuasi wa chama cha Rutte
Image captionFuraha ilitawala kwa wafuasi wa chama cha Rutte
Muungano wa takriban vyama vinne unahitajika ili kuunda serikali kuu jambo linaloweza kuchukua majuma kadhaa ama hata mwezi mzima.

No comments

Powered by Blogger.